jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Chasema na mwenyekiti wao wasijaribu kumbabaisha Rais wetu na kumblackmail katika kutekekeza sera zao
wananchi waliikubali CCM na wakaipigia kura kwa kishindo 2020.
hivyo mwenye mamlaka,ushwawishi na uwezo wa kumuamrisha Rais Samia ni wapiga kura walioichagua CCM 2020.
TUACHE USANII WA KISIASA