Kwa mujibu wa Dr. Magufuli (rest in eternal peace), siku akiwahutubia wakazi wa Kinyerezi, anasikika akisema kuwa...
Walipoanza mchakato wa ujenzi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere walikosolewa. anasema Dr. Magufuli (rest in eternal peace) kuwa walipochunguza waligundua kuwa ndani ya msitu ulipo mradi watu aliowataja kama 'wao' alikuta wana, kwa mujibu wa Dr. Magufuli (rest in eternal peace), 'hoteli, hunting blocks 47, viwanja vya ndege vidogovidogo, air stripes 38'.
Tufahamishane hapa nyie maGT: hao ambao Dr. Magufuli (rest in eternal peace) anawataja kama 'wao' ni kina nani?
Hawa 'wao' wana uhalali wowote kisheria wa kujenga hizo facilities kwenye misitu ya nchi yetu? nani aliwapa? Dr. Magufuli (rest in eternal peace) alikuwa hajuwi? na kama alikuwa hajuwi nani alipashwa kuwa anajuwa?
Itoshe tu kusema kuwa Dr. Magufuli (rest in eternal peace) alikuwa mzalendo wa kweli na aliiongoza nchi hii kwa risk kubwa.
Tumuache apumzike.
Kwa Samia, tunausubiri huo umeme wa Bwawa la Nyerere. Siku nikisikia mgao wa umeme you are a failure Mama bora utuache tutafute kauzu mwingine mithili ya Dr. Magufuli. nchi ina watu milioni 50 tukitaka kauzu hatuwezi kukosa.