Kuhusu equivalent waliokosa mikopo

STOCKTON

Member
May 25, 2011
6
0
Jamani mimi nashangaa kitu kimoja.Kama bodi ya mikopo mwaka huu haitoi mikopo kwa wanafunzi wenye EQUIV QUALIFICATION kulikuwa na haja gani ya kuweka vigezo vya EQUIV QUALIFICATION kwenye form zao walizotoa za kujaza online?.Pia kwa nini wasingetangaza kuwa wenye EQUIV QUALIFICATION hatapewa mikopo ili watu wa-apply wakijua kuwa chuo watasoma kwa kujilipia?....Vinginevyo wamekaa kimya na mbaya zaidi wametupotezea muda wa ku-apply kumbe tungefanya utaratibu mwingine wa kujipanga.
 
kaka ila kweli hawajatenda haki na kama sikosei hakuna gharama mlizotumia kufanyia application ya mikopo??....sasa hiyo ela wamepeleka wapi wakati wote ambao wameapply kwa EQUIV QUalification wamewatosa??...ka vipi hiyo ela wairudishe na kwa nini wameweka huu utaratibu bila ya taarifa inabidi haki itolewe hawawezi kufanya mambo kienyeji hivi.
 
Tutafute wanasheria tukadai pesa zetu,huu ni wiz bodi imefanya!.
 
Kama ni kweli kwamba EQUIV QUALIFICATIONS hawajapewa mikopo basi hawajatendewa haki,vinginevyo tunashawishika kuamini kuwa upo mpango kabambe wa kuidisqualify hiyo sifa iwe haistahili kupata mkopo,mpango ambao unaonekana kufanikiwa,ni heri basi wangetangaza rasmi mapema watu wasingelijisumbua bure
 
Alafu neno ili huwa linauzi kweli non-refundable sasa kama kurudisha hela si watasimamia msamiati huo kuhalalisha wizi bt this tzi bwana
Kama ni kweli kwamba EQUIV QUALIFICATIONS hawajapewa mikopo basi hawajatendewa haki,vinginevyo tunashawishika kuamini kuwa upo mpango kabambe wa kuidisqualify hiyo sifa iwe haistahili kupata mkopo,mpango ambao unaonekana kufanikiwa,ni heri basi wangetangaza rasmi mapema watu wasingelijisumbua bure
 
Jamani mimi nashangaa kitu kimoja.Kama bodi ya mikopo mwaka huu haitoi mikopo kwa wanafunzi wenye EQUIV QUALIFICATION kulikuwa na haja gani ya kuweka vigezo vya EQUIV QUALIFICATION kwenye form zao walizotoa za kujaza online?.Pia kwa nini wasingetangaza kuwa wenye EQUIV QUALIFICATION hatapewa mikopo ili watu wa-apply wakijua kuwa chuo watasoma kwa kujilipia?....Vinginevyo wamekaa kimya na mbaya zaidi wametupotezea muda wa ku-apply kumbe tungefanya utaratibu mwingine wa kujipanga.

jamani bajeti imefika kikomo. Serikali kwasasa inashughulikia swala la umeme..
 
Back
Top Bottom