Kuhusu cpa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu cpa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Geofrey_GAMS, Apr 8, 2012.

 1. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba mnijulishe, hivi mtu akiwa na degree ya accountancy inamchukua tena miaka mingapi mpaka kupata CPA
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mpaka hapo inaonyesha huna hiyi degree maana ungejua swali ulilouliza.

  Kifupi ni hivi kupata CPA hakuna muda maamulu isipokuwa na module mbili E & F, huku kila moja ikiwa na masomo matatu.

  Module E, Financial Reporting, International Finance & Taxation

  Module F, Management Accounting, Contemporary & Auditing.

  Ni mwendo wa ngwe ukiweza kutoboa utapata hata kwa sitting mbili vinginevyo ni mwendo wa kujikongoja hado kieleweke.
   
 3. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  kwan hyo mitahan yao huwa inakuwa kila baada ya mda gan
   
Loading...