Kuhusu CISCO networking

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,281
Ningependa mnisaidie kwa wanaofahamu.
Inahusiana na nini hasa?
Unaweza kuisoma wapi?
Utafanya kazi zipi?
Ajira yake ikoje?
Mtu yeyote anaweza kuisoma au mpaka uwe na extra knowledge ya mambo ya computer?

Kwa wenye uelewa please naombeni mnisaidie nataka nipate general knowledge yake kwa upana kidogo.
 
Mi naifahamu,ila kabla sijakupa maelezo kama unaweza sema au uni pm una level gani ya elimu as per now na ufahamu wako wa computer hardware and software ukoje ili nijue nikuelezee vipi ili unielewe.Naogoba kuanza kukuelezea kwani naweza kuwa nakwambia vitu ambavyo huvielewi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom