kukutia Member Sep 26, 2016 24 8 Oct 25, 2016 #1 Wadau polen na majukumu binafsi nimechaguliwa kusoma sheria katika chuo hicho naomba kujuzwa kuhusu taaluma yao,karo na mazingira ya iringa kiujumla
Wadau polen na majukumu binafsi nimechaguliwa kusoma sheria katika chuo hicho naomba kujuzwa kuhusu taaluma yao,karo na mazingira ya iringa kiujumla
SODOKA JF-Expert Member Sep 15, 2012 1,658 722 Oct 25, 2016 #2 ingia kwenye web yao hayo yote utapata
mbudunge JF-Expert Member Jul 7, 2015 1,735 1,085 Oct 25, 2016 #3 Kuhusu Karo sijui but mazingira ya tumaini na iringa kwa ujumla wake hutojuta....
kukutia Member Sep 26, 2016 24 8 Oct 25, 2016 Thread starter #4 mbudunge said: Kuhusu Karo sijui but mazingira ya tumaini na iringa kwa ujumla wake hutojuta.... Click to expand... Nashukuru
mbudunge said: Kuhusu Karo sijui but mazingira ya tumaini na iringa kwa ujumla wake hutojuta.... Click to expand... Nashukuru
Gasper mapile Senior Member Jun 30, 2013 195 87 Oct 25, 2016 #5 Kiko poa ila ada yake ni kwa mwaka jana ilikuwa km m 1.95
Gasper mapile Senior Member Jun 30, 2013 195 87 Oct 25, 2016 #6 Ila law kwa sasa cio issue jaribu kuangalia course nyngne mkuu kwa ushaur ni pm on 0715654676