Kuhusu chuo kikuu Tumaini Iringa

kukutia

Member
Sep 26, 2016
24
8
Wadau polen na majukumu binafsi nimechaguliwa kusoma sheria katika chuo hicho naomba kujuzwa kuhusu taaluma yao,karo na mazingira ya iringa kiujumla
 
Kuhusu Karo sijui but mazingira ya tumaini na iringa kwa ujumla wake hutojuta....
 
Back
Top Bottom