Ombenikhalungu
Member
- Nov 19, 2013
- 96
- 47
Sheria za mahakama zinsema "kujua sheria ya nchi ni jukumu la Mtanzania mwenyewe"
Sasa basi chombo chenye mamlaka ya kutunga sheria ni Bunge tu na mahakama ni wasimamizi tu wa sheria.
Ila Bunge lenyewe halionyeshe wala kutangazwa kwenye chombo chocho cha habari
Hivyo basi kama mm mtanzania nitapata wapi kutambua kuwa kuna sheria mpya imetungwa?