Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,311
73,855
Nimesikia eti alama za ufaulu ni kama zifuatazo by Ndalichako Bungeni.

A: 85-100
B: 75-84
C: 70-74
D: 61-69
E: 51-60
S: 35-50
F: 0-34

Tusubiri kama ni kweli. Kuna kutu kimejificha , kitajulikana with time.
Nasikia eti na muda wa kufanya mtihani umebadilika.

Kwa waingereza
Grading

A level examinations are graded on a scale of A* to E. Students that take the full A level in addition to the AS are awarded one grade for each subject, with the AS results being subsumed into the A level point score if not ‘cashed in’ as a terminal credential after the first year of study. For universities using the centralized Universities and Colleges Admissions Services (UCAS) process for admission, grades are also attributed Tariff Points (see below for an explanation of Tariff Points) as follows for each A level grade:

WENR_0214_feature-2.gif
 
Ndalichako ni muuaji. Aweke alama zake tuone kama alipanda kwenye 85 . Na huyo Mkubwa aweke hapa tuone kama alikwea mpaka 85. kama wao ziliwashinda vipi wengine
 
Nimesikia eti alama za ufaulu ni kama zifuatazo by Ndalichako Bungeni.

A: 85-100
B: 75-84
C: 70-74
D: 61-69
E: 51-60
S: 35-50
F: 0-34

Tusubiri kama ni kweli. Kuna kutu kimejificha , kitajulikana with time.
Nasikia eti na muda wa kufanya mtihani umebadilika.

Kwa waingereza
Grading

A level examinations are graded on a scale of A* to E. Students that take the full A level in addition to the AS are awarded one grade for each subject, with the AS results being subsumed into the A level point score if not ‘cashed in’ as a terminal credential after the first year of study. For universities using the centralized Universities and Colleges Admissions Services (UCAS) process for admission, grades are also attributed Tariff Points (see below for an explanation of Tariff Points) as follows for each A level grade:

WENR_0214_feature-2.gif
Hazina shida mbona nilichojifunza vijana wa siku hizi wanataka mteremko waambie wasome waache kucheza.
 
weka zako tuone

Zangu, hazitakusaidia kufaulu. Jambo la msingi sana achana na mbunye /papunchi soma hizo alama ni za kawaida sana kwa mtu aliyemakini na mambo ya shule.

Ila ukiwa kiguu na papunchi /mkunyange hizo alama utazisikilizia kwa wenzio.
 
Hazina shida mbona nilichojifunza vijana wa siku hizi wanataka mteremko waambie wasome waache kucheza.

Ndiyo hivyo, vitoto vya chekechea havina bikira zote unadhani hapo shule utaweza tena!?

Hakuna, zaidi wataanza kuomba wakajifungue na kulea watoto kisha warudi shule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom