Kuhusu ajira mpya

Luhomano

Member
May 1, 2020
57
32
Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba ajira zilizotangazwa hapa juzi ukizingatia wao wanatambuliwa kama laboratory technicians na siyo waalimu na huku wamesoma katika vyuo vya ualimu, maalumu kwaajili ya shule za sekondari.
 
Hakuna kazi hapo
Hili ni Changa la Macho
Process itakuwa ndefu mpaka uchaguzi uishe halafu......
 
Aombe tu naye yuko chini ya wizara ya elimu maana sehemu yake ya kazi ni sekta hiyo
 
Aombe ajaribu bahati, maana ajira zao huwa wanatoa chache , lakini kimsingi hawa watu wanahitajika sana, hawa ndio walipasa kuzisimamia Maabara alizoziacha Jakaya Kikwete.
 
Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba ajira zilizotangazwa hapa juzi ukizingatia wao wanatambuliwa kama laboratory technicians na siyo waalimu na huku wamesoma katika vyuo vya ualimu, maalumu kwaajili ya shule za sekondari.

Anaweza kuomba kama
1.Kada wa Chama kindakindaki
2.Mfia chama
3.Ana Kadi na cheti kabsa
4. Awe ametoka kanda maalum kwa kigezo cha Jina
Hivyo ni vigezo muhim mkuu abadan asilan lazima awe amequalify akiwa na vigezo tajwa
 
Back
Top Bottom