Kuhusiana na Lulu kulia Mahakamani, Kama binti mdogo (mtoto) anayebebeshwa mzigo asioweza kuubeba

imes namuhurumia bt sometimes cmuhurumii.bt naona bora ajifunze ili na watoto wenye umri wake wayaache mambo ya wakubwa.kalifanya birthday kwa mbwembwe kua waliokua wanasema mdogo haruhucwi kufanya mambo ya kikubwa wazime zao kwani amefikisha miaka18,sasa hata mimi nashangaa anaposema ana miaka17,baba anadai ni 16.hili pia ni funzo kwa wazazi wake mtoto akiwa star haimaanishi kua ndo bas ayaendeshe maisha yake mwenyewe,wazazi wa lulu ndo wakulaumiwa zaid..ona hata umri wa mtoto wao hawaujui dah kweli cio kila mwenye mtoto anastahili kuitwa baba au mama.
 
Akome sasa,huruma hailazimishwi wala kuombwa inakuja yenyewe,nashangaa kuona mtu anasema lulu anahitaji huruma..mi nimefurahi amevaa uhusika huyu ni kioo cha jamii bhana angalau mabinti zetu watajifunza kupitia tukio lake na watatulia wasome kwanza bdala ya kukimbilia mambo makubwa...unapofanya maasi makubwa na majanga yake lzm yawe makubwa,.Mungu kaamua kumpa funzo kwa style hyo.,.akitoka huko heshima na adabu atakuwa anagawa kwa staha na sio kujifanya wanaume wote duniani anawataka yeye mpk alijiapiza lzm ampate Justine Bibier kwa gharama yeyote ile..halafu eti mnamuita mtoto?ptuuuu mtoto gani kapigwa nje ndani nyingi kuliko hata mzee?subirini sheria ichukue mkondo wke,.akitoka mumdake tena mumchezee km kitenesi.
 
Watu wazima mnaona suala la Lulu kulia Mahakamani kuwa ni big deal,mnasahau kuwa fani yake ni uigizaji,ameshaigiza part nyingi sana za kulia katika movies alizoshiriki/kushirikishwa itakuwa Mahakamani...na huyo anayemsema mtoto amebebeshwa mzigo asioweza kuubeba mimi naona hana akili nzuri,Lulu ana utoto gani sasa jamani.....mtu anajitwisha pande kama Captaiiiin daily,Captain anakolea mpk anaamua kumporomoshea Mjengo pande zile za Kimara bado mnasema Mtoto,watoto huwa hawabebi dizaini zile hata siku 1,dizaini zile zinabebwa na watu wazima wa shughuli jamani
 
hata mimi namwonea huruma pia,
wakati wa huruma ni huruma tu,
wakati wa utani ni wa utani tu.
 
hahaha c wa kwanza kulia mbona wengi wanaliaga tu. Sasa si ashafika mahakamani na kesi inaendelea kaa kimya uone kitakachojiri kuliko keleta hisia zako hapa.
Kweli bongo kila mtu ana fani zote kuanzia mziki mpaka uchungaji.

kama kulia,mbona hata Dulla Zombe alilia.
 
Watu wazima mnaona suala la Lulu kulia Mahakamani kuwa ni big deal,mnasahau kuwa fani yake ni uigizaji,ameshaigiza part nyingi sana za kulia katika movies alizoshiriki/kushirikishwa itakuwa Mahakamani...na huyo anayemsema mtoto amebebeshwa mzigo asioweza kuubeba mimi naona hana akili nzuri,Lulu ana utoto gani sasa jamani.....mtu anajitwisha pande kama Captaiiiin daily,Captain anakolea mpk anaamua kumporomoshea Mjengo pande zile za Kimara bado mnasema Mtoto,watoto huwa hawabebi dizaini zile hata siku 1,dizaini zile zinabebwa na watu wazima wa shughuli jamani

Kama sijakuelewa hivi!unamuonea donge kujengewa nyumba au?kalulu nyota inang'aa kuna dada zako mjini mpaka inaota sugu hata bajaj hawajawahi kununuliwa!usiungane nao kumchukia mrembo huyu aliyebarikiwa kudatisha wanaume na akili zao!
 
Kama una mpango wa kuwa mzazi baadaye ghairisha hilo zoezi...endelea Kuuza sura mkuu!
 
Jamani tuache mahakama ifanye kazi yake,mbona tumekomalia sana hili jambo kuliko hata mama wa marehemu? loh!
 
Nyie mnaosema ahurumiwe hamumjui huyo mtoto....mshenzi sana huyoo mwache dhambi yake imtafune...!!! Mi hata simuhurumii na hiyo mimba azalie huko huko jela.....angekuwa mtoto angeshika mimba...!!! Na ole wake asingizie mimba ya Kanumba...!!!
 
Umenena hata mimi simuhurumii kabisa wakati anafanya starehe alikuwa anaona dunia ni yake na chaguo ni lake leo aliyoyachagua anayaangulia kilio. Mnaomuonea huruma mwende mahakamani badala yake,ni lazima iwe fundisho kwake,wasichana wote,wazazi wanaofanya watoto wao vitega uchumi ili kuganga njaa town. Leo hii mama lizy anaomba watu wamsaidie mwanae alipokuwa anarukaruka na wanaume mbona hakuomba msaada wamama wamkanye km alishindwa?alikuwa anafurahia hela tu,ukipanda mahindi usitegemee kuvuna kunde.
 
Usidhani Lulu ana moyo wa chuma kama wewe..
Kila binadamu ana kikomo chake cha uchungu na maumivu na chozi kumtoka sio ajabu hata kidogo
 
mchelea mwana kulia hulia mwenyewe wazazi wake ndio wameyataka mpaka ka hot lulu kamefikia hatua juu ktk maisha binadamu
 
Back
Top Bottom