Kuhonga kunauma sana, leo nimeumia sana kwakweli

Ata mimi Siku ya kwanza kuhonga nili umia sana. ila saivi naona normal tu ni. Nipe nikupe
naijatwittersavages-20190517-0001.jpeg
 
usijali mkuu japo umelala na njaa leo lakini umejenga jina kwa demu wako,kama ambavyo kwa kupigwa kwake bwana yesu wakristo wamepona hivyo hivyo kwa kupigwa kwako demu wako amepona
 
Mkuu tumekusikia, sasa tunaomba tufahamu unataka wana Jeiefu tukusaidie kwa lipi haswa..??
 
Acha ujinga. Elfu thelathini? Mwanamke gani huyo hela ndogo hivyo?

Kuhonga ni kipaji.
Watu tunahonga nyumba na magari mazuri hata presha hatuna. We makumi kumi matatu unakuwa kama umekula pilupili ya songea ile yenye harufu na ladha kaliii.

Ushauri.

Nenda buguruni wapo saizi yako wa buku 2. Ila haijaoshwa. Imefutwa tu
usikute huna hata tofali
 
Mambo ya kuhongana hongana ni ya kizamani hayo..kama haya makondoo yenyewe yanakujaga kitandani yakiendelea kuchat na mzigo unatoka kwa masharti, acha wapite hukoo,.. Mapenz zero, ukitaka kumega unaambiwa eti "subiri haraka ya nn!? " Demu anataka mshinde bar kwanza mpk midnight ndo ukale mzigo na atakupa kamoja bhaaasss,... Ukimpapasa tena atakuambia nimechoka baby, tulale! Hapo ushaangamiza kama 50 pale bar na anakupigia hesabu kumtoa... Tena hapo ujione mwenye bahati.. Nilishakutana na mmoja, nilifukuzia kitambo sana, siku amekuja nimle, Kala mapokopoko kibao, then tunafika kitandani ananiambia niko period!!.... ACHA KUHONGA HUO NI UZWAZWA
 
Yaani we vikaratasi vitatu vinakutoa kamasi........ Kwenye kuomba mbunye sasa unavyoshupaza mishipa ya shingo ili upewe... Kuhudumia kilio msiiiiew
Hhahahaha uwiiiiiiiiiii kwakweli Mkuu umenifurahisha yani kama namuona anavyoomba mbunye hahahahahaha
 
Wasalaaam
Kwakweli hatimaye leo nimemhonga demu wangu shilingi elfu thelasini yani imeniuma sana sio siri, nimeumia mno
Natamani hata kuacha mapenzi
Hayo mambo inaonekana huyaweza piga chini fanya unachoona hakikuumizi
 
Back
Top Bottom