Kuhonga kunauma sana, leo nimeumia sana kwakweli

Lakin mkunyeto unaingia hahaha
Acha ujinga. Elfu thelathini? Mwanamke gani huyo hela ndogo hivyo?

Kuhonga ni kipaji.
Watu tunahonga nyumba na magari mazuri hata presha hatuna. We makumi kumi matatu unakuwa kama umekula pilupili ya songea ile yenye harufu na ladha kaliii.

Ushauri.

Nenda buguruni wapo saizi yako wa buku 2. Ila haijaoshwa. Imefutwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhonga ni kazi ya wenye wake.. ambao wanatafuta nyumba ndogo hapo lazima uwashawishi kwa hela..

Ila kijana ukitaka usihonge wanawake wekeza katika kujipenda mwenyewe.. watakuja tu..

Ishi nyumba nzuri... geto zuri.. friji mazaga zaga.. akija hata kwa bahati mbaya asitamani kuondoka..

Endesha gari nzuri.. hata kama ni passo, vitz au kirikuu...ila hakikisha ni nzuri.. yaani ukimpa hata lift tu akubali gari safi .. vaa vizuri..

Nakuhakikishia hutaangaika hata kuonga..

Watakuwa wanakupa wenyewe tu, tena wanakutega kabisa

Na ndoa watakulazimisha kama sio kukutegeshea mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
'Endesha gari nzuri.. hata kama ni passo, vitz au kirikuu...ila hakikisha ni nzuri.. yaani ukimpa hata lift tu akubali gari safi .. vaa vizuri..'

Sasa vitz/passo/kirikuu itakuaje nzuri?

Mtazifanya gari zenu kama huyo jamaa hapo chini.
tapatalk_1574749794846.jpeg

dodge
 
Wanawake tunawalipia hadi ada!! Ingawa kikao kilichopita wanaume tulikubaliana tusifanye hilo kosa...labda kama ni ada ya chuo cha uinjilisti
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kila kitu kuna kizuri chake.. hata bata kuna bata mzuri, hata panya kuna panya mzuri.. hata vitz zipo nzuri, hata kirikuu havifanani.. vipo vinavyovutia na visivyovutia.. nina imani umenielewa mfano wangu.

Maana unataka kusema vitz zote mbaya.

Gari nzuri sio lazima iwe ya mamilioni mengi.. hata ya bei nafuu unaweza ukaifanya iwe nzuri na ivutie watu
'Endesha gari nzuri.. hata kama ni passo, vitz au kirikuu...ila hakikisha ni nzuri.. yaani ukimpa hata lift tu akubali gari safi .. vaa vizuri..'

Sasa vitz/passo/kirikuu itakuaje nzuri?

Mtazifanya gari zenu kama huyo jamaa hapo chini.View attachment 1348910

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaaam
Kwakweli hatimaye leo nimemhonga demu wangu shilingi elfu thelasini yani imeniuma sana sio siri, nimeumia mno
Natamani hata kuacha mapenzi
Pole bro ndo uwanaume huo,ukute umehonga 30 elfu,ukabaki huna hata mia
 
Kila kitu kuna kizuri chake.. hata bata kuna bata mzuri, hata panya kuna panya mzuri.. hata vitz zipo nzuri, hata kirikuu havifanani.. vipo vinavyovutia na visivyovutia.. nina imani umenielewa mfano wangu.

Maana unataka kusema vitz zote mbaya.

Gari nzuri sio lazima iwe ya mamilioni mengi.. hata ya bei nafuu unaweza ukaifanya iwe nzuri na ivutie watu

Sent using Jamii Forums mobile app
'Maana unataka kusema vitz zote mbaya.'

Vitz inawezekana vipi ikawa nzuri?Yaani inafanywaje fanywaje mpk iwe nzuri,hapo ndipo sielewi.

dodge
 
Back
Top Bottom