Kuharibika kwa mfumo wa uajiri kunaoporomosha nchi, CCM inaporomoka nayo

jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,064
826
Kuharibika kwa mfumo wa ajira kumeangusha taifa kiuchumi kisiasa na kiutamaduni na CCm inaporomoka na madhira haya.Kwa kawaida state ina nafasi nzuri ya kupick best intellectuals kuliko sekta binafsi, tabia ya kuweka vimemo kwenye baadhi ya application au big people kuingilia mchakato wa ajira ili kuwa fouvor baadhi ya candidate kumefanya 70% ya watumishi wa umma kutotosha(refers Mussa Assad ),kwenye uchumi wa kissable government ni regulator wa kila kitu huwezi kuwatoa ambao ni less intelligent kuwaregulate magnius,jambo lapili hao wasiotosha ndiyo watendaji wanaowashauri wanasiasa sasa fikiria hiyo fyongo.

Nahilo ndiyo linalo tokea CCM kuna kubebena kwingi competitive personal wanaachwa kwa ajiri nitandao udugu na urafiki na maslai ya wastaafu wanao tummy chama kama sahani yao. Leo hii ccm sio ya kushindwa kujibu hoja kwa chadema na kutumia polisi,mama ndiyo kaingizwa chaka kabisa mwenezi na katibu hawatoshi.
 
Kuna point kubwa hapa!

Fikiria jamii ya walio wengi hata mlo wa siku unawasumbua....Kuna wakati unakuja watakata tamaa wengi ambapo kuna uwezekano hii nchi ikatiwa kiberiti
 
Hili nalo ni tatizo kubwa jamii inayo dharau credential za muelimika ukamdhulumu haki yake kutambuliwa kama muelimika laana yake ni vijana kupuuza elimu, hiyo ipo ngazi zone kuanzia familia,ukoo,kabila na taifa
 
Hili nalo ni tatizo kubwa jamii inayo dharau credential za muelimika ukamdhulumu haki yake kutambuliwa kama muelimika laana yake ni vijana kupuuza elimu, hiyo ipo ngazi zone kuanzia familia,ukoo,kabila
 
Back
Top Bottom