Kuhamishwa kwa DPP ni pigo kubwa kwa Nusrat Henje na akina Halima Mdee

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,513
141,246
Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi.

Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi.

Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga.

Bawacha walioko bungeni wajiandae kwa lolote, Nusrat Henje "alikuwa" kete muhimu ya wao kubaki bungeni.

Kazi Iendelee!
 
Hili ni jaribio zuri sana kwa maneno matamu ya malikia kuhusu kuboresha utawala wa kisheria.
 
Back
Top Bottom