Kuhamisha mbovu acp masawe toka tarime kwenda tanga sio tiba

Mosachaoghoko

Senior Member
Apr 19, 2011
137
10
polisi wafanya mabadiliko kwa kumhamisha masawe toka kanda maalum ya kipolisi ya Tarime -Rorya kwenda Tanga je amejbu kwanini waliiba miili ya maeheemu na kui dump barabarani na mauji waliyooyaffanya vip
 
Aingie kwa gia ya taratibu huko kwa wagosi kwani huko mbwai ni mbwai!
 
Kwa Polisi kutoka Tarime ni adhabu maana ndiko kuna Rushwa kubwa kubwa ambazo Polisi zimepofuwa macho!
 
Kwa utaratibu makamanda na askari hawatakiwi kukaa muda mrefu sehemu moja. Hivyo inawezekana ni mzunguko wa kawaida tu. After all massawe hana tatizo kwani yeye anapokea amri tu. Lakini tuendelee na uchunguzi yakinifu kujua ni kawaida au la.
 
kwahiyo hata akipokea amri mbofu anatekeleza tu siyo??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom