Kuhamia Dodoma waziri mkuu ni kufuta aibu

masengobangu

Senior Member
Feb 25, 2014
127
131
Kwenye maisha au uongozi kuna haja ya kupima kauli au maamuzi yako, nikiangalia uwepo wa WAZIRI MKUU Dodoma ni kama kufuta aibu ya BABA ambaye alihaidi kumwacha mkewe hali ya kuwa bado anampenda, kitakachotokea hapo nikumegana kisela kama wanavyosema watoto wa mjini.

Kulikua kuna haja gani ya waziri kuhamia DODOMA hali ya kua kila leo yupo DAR ES SALAAM? maamuzi haya na mengine mengi ni miungoni mwa maamuzi mabaya ambayo yanatafuna pesa za walipa kodi tu.
 
Back
Top Bottom