Kuhamia Dodoma: JWTZ nao wafungasha virago toka Dar!

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
222
1,826
Wakuu,

Kundi la kwanza toka Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ) leo wanahamia Dodoma.

Takribani Maafisa na Askari wapatao 651 wa Ngome wanaenda Dodoma, hii ikiwa ni awamu ya kwanza.

Inaelekea Magufuli amemaanisha kweli; lakini ni uamuzi sahihi?

Time will tell
 
Back
Top Bottom