Kuhairishwa uchaguzi wa Umeya wa Dar, nini wanachoogopa!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Umewahii kuonaa mwanamama akihangaika kujifungua kwakweli utamwonea uchungusanaa lakini mwisho lazima azae tu.....

Kinachoendelea sasa ni siasa zile zile zakuhairishwa uchaguzi za meya..sijui nani anamaslahi hapa lakini wenye akili mmeona tulivyotesa wanannchi kusubiri chaguzi za ilala NA kinondoni kunyima wananchi maendeleo KWA maslahi ama mafikirio yenu binafsi

Leo tens kumezuka hili LA kuhairishwa sijui mini kinaendelea naangalia Fb hatasipati picha

Waziri wetu mtukukuka GSC Tafadhali ingilia kati hiliswala else tueleze kama waziri mini chanzo cha kuhairisha chaguzi mnakwenda mpaka mahakamani mwisho mnakubali yaishe..he NA huuu no yaleyale ama kuna sababu kadhaa

Kilalakheri mtakapoamua uchaguzi mwingine
 
Freeland hukuu wanapambana NA ukawa

Watazaa tu aijalishi miezi Tisa ama kuminamoja ikienda Wa 12 tunatumbua utumbo tunatoa mtoto upotevuwamuda

Majuzinimemkuta mzee mmoja pale pembeniya Lumumba analalamikaa yaani naahuu umeya Wa dar wanachukuu sijuui itakuwaje ...Raising anaenda kupokelewa NA meya Wa upinzani..ama ati kuna sehemu Raid anatakiwa kuwa NA meya Wa mji wanadai sijuii kwakweliii..he kumbe ndio hayaa

Hii lazima watupe mtoto mchangaa nawaambiaa hata wapinzani wapewe nagari..wamekula hela zao kinondni NA ilala sembuse Wa Dar....

Nb;
Kuchelewa KWA uchaguzi huu kuangaliwe NA madhara wananchi wanayopata kushindwa kuwa NA Meyaa Wa mji
 
Pdidy elewa kuwa hili suala la UDA nalo limemtoa Nyoka pangoni! Hofu imetanda huku na kule na kama ni jipu basi hili liko kunako nyeti na mtumbuliwa taarifa unazo tayari kuwa dawa ya gazi iliisha kwisha mambo ni kavukavu
 
Ccm wamechelewesha makusudi kuna wabunge wateule wa rais hawajaapishwa ndiyo wanaosubiriwa kuja kuongeza idadi ya madiwani dar
 
Ccm wamechelewesha makusudi kuna wabunge wateule wa rais hawajaapishwa ndiyo wanaosubiriwa kuja kuongeza idadi ya madiwani dar
Mkurugenzi alisema wabunge wa viti maalumu wanajaza form 8D wanapoomba nafasi na kwa maana hiyo wanakuwa madiwani kutokana na maeneo wanayotoka. Sasa hawa wabunge wakuchaguliwa na raisi wanajaza form 8D nao pia? Na inakuwaje hasa mbunge awe diwani? Ni sawa na kusema Raisi ni mbunge pia. Diwani ni nafasi ya kuchaguliwa na wananchi, sasa wanaotupachikia watu walioteuliwa na kutufanyia uamuzi, mantiki yote ya kuwa na diwani inaondoka.
 
Kama uliangalia ITV Jana Bulembo alivyotamka kuwa wana hazina kubwa ya mawaziri katika uchaguzi huo wa meya wa jiji
 
NIMESHANGAA Kumsikia BULEMBO Akisema Wao (CCM) Hawana Shaka Na USHINDI WAO Kwa Kiti Cha MEYA Wa JIJI!! Kwani Wana Wajumbe Wa Kutosha, Kuanzia Madiwani, Wabunge Na Mawaziri Wao!!! Sasa Hapo Kwa Hao MAWAZIRI Wao Ndio NASHANGAA, Hivi Waziri Wanaruhusiwa Kupiga Kura Ya Kuchagua Meya POPOTE Pale!!!!?
 
Back
Top Bottom