Kuh: Nyerere na Misingi ya Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuh: Nyerere na Misingi ya Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SuperNgekewa, Jun 10, 2010.

 1. S

  SuperNgekewa Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Kuh: Nyerere na Misingi ya Taifa[/FONT]


  [FONT=&quot]Taifa imara linajengwa juu ya misingi imara, siyo juu ya nusu ukweli na nusu uongo. Picha ya Nyerere tuliyolelewa nayo ni ya upande mmoja tu, yaani kiongozi mkuu (great leader) wa “zidumu fikra”, baba mpole na mwenye upendo kwa watoto wake (i.e. Watanzania wote). Hivyo ndivyo ilikuwa pia kwa Mao Tse Tung, Josef Stalin, Kim Il-Sung, Enver Hoxa, (wakati wa uhai wao) na wengine wawili au watatu ambao bado wako hai. [/FONT]
  [FONT=&quot]Ukweli ni kwamba huwezi kujenga taifa imara juu ya msingi wa kuangalia upande mmoja tu, na ingekuwa vigumu kwa China kuendelea mbele faster bila Deng Tsiao Ping kumkosoa Mao Tse Tung, au Urusi bila Kruschev na Gorbachov kuonyesha upande wa pili wa Stalin. [/FONT]
  [FONT=&quot]Tawala za namna hii zinapumbaza watu na kuwafanya tegemezi kwa hiyo ili kuwakwamua wananchi kutokana na hali hii, hatua ya kwanza ni kuwahamasisha kuachana na fikra za upande mmoja tu. Muda si mrefu baada ya kifo cha Nyerere, wazee wetu wapendwa, Ali Hassan Mwinyi na Rashidi Kawawa, walikuwa tayari kutoa mwanga kuhusu upande wa pili wa Nyerere katika televisheni lakini opportunity hiyo ilizimwa [back story inasema na Rais Mkapa(!?). Nani mwingine angeweza kuwazuia Ali Hassan Mwinyi na Rashid Kawawa kusema dukuduku zao?]. Matokeo yake, kuzinduka kwa Watanzania kumecheleweshwa tena kwa zaidi ya mika 10 na sasa, Rashidi Kawawa, mtu aliyemjua Nyerere kuliko wote duniani, ameshafariki. [/FONT]
  [FONT=&quot]Itasaidia sana kulikwamua taifa letu kutoka mfumo huo kama wale wanaowajua watu wenye knowledge au experience na upande wa pili wa Nyerere wangewafuatilia na kuziandika na kuziweka kwenye vyombo vya habari ili nchi iweze kuwa na balanced picture na hivyo kulijengea taifa misingi imara. [/FONT]
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu different times need different leaders. Mwalimu Nyerere was not the perfect leader but for a certain period of time he was the kind of leader we needed. Since the world is changing & we are living at a different era it is easy to disregard the importance of Nyerere since a figure like him is not needed for the new challenges we are facing.

  Nyerere was a leader who was the product of colonial rule & the struggle for independence. After uhuru there was what you can call a kind of paranoia. Leaders might have been afraid that it was only a matter of time until the colonial powers made a second attempt on colonization just awaiting the right moment. This fear might have been justified.

  There was also internal conflicts. Nyerere & his group had to solidify there rule or risk falling under possible opposing groups. Nyerere had to do this while avoiding the risk of civil war. If you look at most countries in Africa, right after independence there were power struggles which lead to civil wars which lasted for decades, the effects of which are still felt until today.

  Nyerere inherited a country of diverse tribal, religion, cultural and historic diversity. Do you ever ask yourself why Tanzania, a country of more than 120 tribes never entered into civil war while countries like Rwanda with only two tribes fell under genocide?

  So all these factors required a fears & charismatic leader who can both be feared and revered at the same time. It needed a leader who was ready to make the tough choices and decisions. It was a time where quick action was needed rather than the long and exhausting process of debate. Sure he made some wrong choices to which we still face consequences until today but decisiveness is always better than indecision.

  It is hard to see the importance of a Nyerere like leader which we needed at that time but I guarantee you that other nations in Africa who by no fault of their own came under the rule of opposite types of leaders wish they were in our position.

  *By the way msingi mkubwa Nyerere aliotuachia na leo tuna faidi matunda yake ni uhiari wa Nyerere kuachia madaraka. Nyerere angebaki raisi wa maisha basi hata mrithi wake angetaka kuongoza maisha na mifano kama hiyo ipo Afrika. Leo hii siyo rahisi raisi yoyote atokee aseme ana taka kutawala maisha. Kwa hiyo kutokana na mazingira ya wakati ule na hulka ya kiongozi kama Nyerere tumeachia baadhi ya misingi at the expense of others. Kwa hiyo ni juu yetu kufanya cost-benefit analysis. Je ni bora tungekua na kiongozi dikteta kama baadhi ya nchi? Au je faida alizo tuachia Nyerere ni nafuu kuliko hasara zilizo tokana na utawala wake? Jibu ni juu ya mtu binafsi na jinsi anavyo ona mambo.
   
Loading...