Kugusa au kuguswa

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,455
Wakati mwingine huwa najiuliza jambo na nashindwa kuelewa kwanini yanayotokea haya
mwishoni au mwanzoni mwa mwezi kuna kisa ama nikiite kioja cha aina yake kilichotokea cha kusikitisha na kuwasha masikio yote yakabaki yanarindima, huo mshangao wenyewe kwanije mambo haya yanatokea.
mwenzenu imebidi niandike hapa eti kugusa na kuguswa kuna fanya mtu ashindwe kuvumilia na kuanza kufanyia Mungu dhambi kiasi kile wale watu wana familia zao wanakwenda kulandana kiasi kile wanafundisha nini watoto wetu wa siku hizi
kweli imenishangaza sana KUGUSA NA KUGUSANA KUNA MAANA GANI? PLS WANAJF NIJIBUNI HAPA LETENI HOJA ZENU
 
Mimi napenda kuchangia lakini nimeshindwa nichangie nini labda ungetoa chanzo!!:confused2:
 
Kumbe tuko wengi ambao hatujaelewa, tafadhali rudia somo mleta mada
 
Wakati mwingine huwa najiuliza jambo na nashindwa kuelewa kwanini yanayotokea haya
mwishoni au mwanzoni mwa mwezi kuna kisa ama nikiite kioja cha aina yake kilichotokea cha kusikitisha na kuwasha masikio yote yakabaki yanarindima, huo mshangao wenyewe kwanije mambo haya yanatokea.
mwenzenu imebidi niandike hapa eti kugusa na kuguswa kuna fanya mtu ashindwe kuvumilia na kuanza kufanyia Mungu dhambi kiasi kile wale watu wana familia zao wanakwenda kulandana kiasi kile wanafundisha nini watoto wetu wa siku hizi
kweli imenishangaza sana KUGUSA NA KUGUSANA KUNA MAANA GANI? PLS WANAJF NIJIBUNI HAPA

Kuna kitabu kimoja kinaitwa THE SKIN ila sikumbuki jina la mwandishi ila ni mwanamama toka USA..., nakushauri kitafute ukisome ndio utajua umuhimu wa kugusana.Kinaelezea umuhimu wa kiungo kimoja wapo ambacho sie binadamu hatujakipa umuhimu unatakiwa..., NGOZI. Bila ngozi sijui kama unaweza kuwa na HISIA au kuhisi mguso wowote!.
 
Wewe umetufanya wote tulishuhudia hicho kituko.

Haya ili uguswe lazima uwe umegusa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom