Kugundua ana nyumba ndogo imekuwa nongwa

M

Msindima

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Messages
1,018
Points
1,195
M

Msindima

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2009
1,018 1,195
Mara mkewe akaanza kumegwa na jamaa nje.Yule mume leo sio yule wa jana mana ameshaona biashara ya uaminifu inakula kwake.
Ndahani ukiona mke anamegwa nje elewa kuwa hiyo tabia alikua nayo hata kabla hamjaanza kuishi pamoja,unajua kuna watu wengine wakiwa single kwao kuishi maisha ya uaminifu kwa wapenzi wao ni ndoto,na hata akiolewa kuacha hiyo tabia inakua ni ngumu maana tayari imeshaota mizizi na hii iko kwa jinsia zote.
Sidhani kama kuna tabia mpya inayozaliwa baada ya ndoa ni kwamba zote zilikuwepo ila zilikua zinafichwa.
Na pia wengine wanaoamua kumegwa nje unakuta ni wale ambao labda wana marafiki wabaya huwashawishi kiungia katika vitendo vya ajabu ( Hawa naweza kuwaita ni malimbekeni ambao wakiona kitu hupagawa bila kutafakari kwa kina mwishilio utakuwaje)
 

Forum statistics

Threads 1,336,789
Members 512,711
Posts 32,551,031
Top