johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,208
Ni muuguzi wa hospitali ya mkoa wa Mara.Alihukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya sh laki 5, ,alilipa na kuachiliwa huru.Meneja wa Takukuru amesisitiza endapo kuna mtumishi yeyote hapa nchini aliyefoji vyeti, akigundulika tu atashughulikiwa ipadavyo.Chanzo Star Tv Taarifa ya Habari