Kugenerate ripoti ya kila mwanafuzi ili kutuma kwa wazazi

Wangwambo

Member
May 22, 2020
20
14
Wataalam naomba msaada wa mawazo, nimetengeza marksheet ya matokeo ya wanafunzi na nimefanikiwa kutengeneza report card ila changamoto ninayokumbana nayo report inaonekana ya mwanafunzi mmoja tu, lengo langu nilitaka report zote nizione kwa wakati mmoja tofauti na ile ya kuanza kucliki mwanafunzi mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom