BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,125
- 732
Habari Ndugu, Naomba Kupata Ukweli Hivi Nitaokoa Kiasi Gani Ninapoaamua Kufyatua Mwenyewe Tofari Au Kununua.
inategemeana na upatikanaji wa rasilimali na vifaa vya kufyatulia tofali, nguvukazi (vijana wa kufanya kazi) na muda wa wewe kusimamia zoezi zima la ufyatuaji. ila kununua pia sio mbaya kama huna muda wa kusimamia mradi wako.Habari Ndugu, Naomba Kupata Ukweli Hivi Nitaokoa Kiasi Gani Ninapoaamua Kufyatua Mwenyewe Tofari Au Kununua.
Habari Ndugu, Naomba Kupata Ukweli Hivi Nitaokoa Kiasi Gani Ninapoaamua Kufyatua Mwenyewe Tofari Au Kununua.
Swali lako ni sawa na kuuliza kumjaza Mimba Mkeo Chumbani au Sebuleni wapi ni bora?
sawa kijanaSwali lako ni sawa na kuuliza kumjaza Mimba Mkeo Chumbani au Sebuleni wapi ni bora?
Nakushauri nunua, tena kama uko sehemu ambayo SUMA JKT wana huo mradi basi nunua kwao, tofali ni chuma, mafundi wakiligonga linatoa cheche za moto
Uzi mtamu narudi
wacha uchochezi toa elimu kijanaKama ndio yale wanayopasua kwa mbwembwe nyingi kwenye maazimisho ya Siku za kitaifa basi hayafai!