Kufuzu Afcon 2021

tetestaly

Senior Member
Sep 10, 2015
126
59
VP wakuu taifa stars kuna uwezekano wa kufuzuAfcon 2021? Mech kati Libya na equtotia Guinea na taifa stars ni lini???
 
Ndiyo uwezekano upo kama ikishinda mechi zote mbili zilizobaki itafikisha alama 10, itakuwa imefuzu, inatakiwa kuishinda timu ya taifa ya Libya nyumbani na kuishinda timu ya taifa ya Guinea ya Ikweta uganini.
 
Back
Top Bottom