Kufutwa mashtaka kwa kasi ni ushahidi tosha kuwa mashtaka yalibambikizwa

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Hongera sana Rais Samia na DPP Mwakitalu, hakika mmeonyesha jinsi mlivyo na hofu ya Mungu kwa hatua ya kuendelea kuwafutia mashtaka watuhumiwa wa makosa ya kubambikiziwa.

Tunawaomba na wale watuhumiwa kutoka upinzani walioshtakiwa kabla ya uchaguzi mkuu nao ni makosa ya kubambikiziwa ili wasishiriki uchaguzi tunaomba nao muwafutie mashtaka.
 
Msofe ni tapeli kweli sema ushahidi ndio ngumu
 
Back
Top Bottom