Kufutwa kwa usaili TANESCO Kanda ya Kaskazini

Watu wanaomba clarification juu ya taarifa za interview wewe unakuja na habari za msiba, kweli bongo nyoso.
Jaman watu wa TANESCO mmetupigia simu kuwa usaili wa kwanza ulifutwa inatakiwa tuje kurudia kesho tar 13 July 2019. Venue mkasema mtatuambia kwa meseji, sasa cha ajabu mpaka muda huu hakuna meseji yoyote kuonesha hiyo venue na muda mlisema saa moja na nusu asubuhi. Kama hili jambo ni gumu kwenu wapeni watu wa UTUMISHI wawasaidie.
 
Naomba nijoking kidogo aiseee yule dada HR anae fanya kazi pale TANESCO Shinyanga mjini nampa saluti mumfikishie yule dada mrembo na mkalimu sana huwa kipindi niko pale nikimuona nasikia raha sana ngozi ya mtume nasikia ameolewa sijui na meneja wa benki ya crdb bank mfikishie salaam jamani
 
Taf
Dua na maombi yetu kwa ndugu zetu waliotutanguliaView attachment 1149631
Tafadhali naombeni msaada ikiwa metre ikioyesha error 001 uniti zipo za kutosha na huku umeme haupo wa kutosha kila wakija TANESCO vibarua bado tatizo linajirudia na tuna walipa sana na nimefikia hatua nimeandika replacement ni kusubiri kama miezi miwili nikaenda kuulizia kulikoni wakaniambia metre zimezuhiwa mpaka mwezi wa nane tatizo ni nini au kwa kuwa tunaishi uwilayani wanatuonea bure tu
 
Wilaya

Eneo

Namba ya simu

Namba ya mita tafadhali
 
Jaman watu wa TANESCO mmetupigia simu kuwa usaili wa kwanza ulifutwa inatakiwa tuje kurudia kesho tar 13 July 2019. Venue mkasema mtatuambia kwa meseji, sasa cha ajabu mpaka muda huu hakuna meseji yoyote kuonesha hiyo venue na muda mlisema saa moja na nusu asubuhi. Kama hili jambo ni gumu kwenu wapeni watu wa UTUMISHI wawasaidie.
Kwa mawaswala ya usahili tafadhali piga namba iliyokupigia kwa taarifa au maelezo tofauti nanuliyopewa
 
Back
Top Bottom