Kufutwa kwa usaili TANESCO Kanda ya Kaskazini

GRAPHICS DESIGN

Senior Member
May 28, 2014
103
39
Habari ndugu zangu,

Jana mida ya jioni nilipigiwa simu kutaarifiwa kuwa usaili uliofanyika awali kwa kanda hiyo hapo jijini Tanga umefutwa hivyo tunatakiwa kufika Jumamosi tarehe 13 Julai 2019 kwa ajili ya usaili tena.

Swali, je taarifa hizi ni za ukweli?
 
Sio kweli kuwa usahili umefutwa hivyo endelea kutumia vyanzo sahihi kupata taarifa sahihi na kwa nafasi uliyoomba
jana mliwapigia simu madereva walipoti vitui vyao vya kazi, leo kuna taarifa za kutisha kama hzo. Ukweli ni upi maana umeandika kisiasa sana. Nilitegemea uweke na event kama ya kupigiwa simu madereva, secretaries etc kuwapa watu ukweli.
 
Sio kweli kuwa usahili umefutwa hivyo endelea kutumia vyanzo sahihi kupata taarifa sahihi na kwa nafasi uliyoomba
+255272645391 hii ni namba iliyonipigia jana mida ya jioni. Najua TANESCO wapo humu tunaomba mtuambie ukweli kuhusu suala hili. Mara ya kwanza nilipigiwa simu nikatajiwa tarehe ya usaili kufika kule nikaambiwa usaili ulirudishwa nyuma ya tarehe tuliyowaambia. Tukawa tumepoteza gharama zetu bure. Tusaidieni kwa taarifa kama ni mchezo hawa watu wafuatiliwe.
 
Yeyote aliyeomba kazi Kanda ya Kaskazini, akipigiwa simu au kutumiwa ujumbe (SMS) kuhusu kuitwa kufanya Usaili, Kuitwa Kuitwa kazini baada ya kufaulu Usaili au Kurudia Usaili, taarifa hiyo ni SAHIHI, azingatie:

0737807088 ,0737808507 ,0737807087,
0737807083 ,0272645391.

Tumia namba hizo kuomba ufafanuzi wa lolote au kutoa taarifa ya kuombwa rushwa na yeyote.

Muda wa Kazi: SAA 02;00 asubuhi hadi 11:00 jioni.

Muhimu: Usitoe zawadi au rushwa kwa yeyote kwani ni kinyume na sheria.
 
Namba iliyonipigia inafanana na hiyo uliyoiandika hapo mwisho, naomba ufafanuzi juu ya hilo.
Yeyote aliyeomba kazi Kanda ya Kaskazini, akipigiwa simu au kutumiwa ujumbe (SMS) kuhusu kuitwa kufanya Usaili, Kuitwa Kuitwa kazini baada ya kufaulu Usaili au Kurudia Usaili, taarifa hiyo ni SAHIHI, azingatie:

0737807088 ,0737808507 ,0737807087,
0737807083 ,0272645391.

Tumia namba hizo kuomba ufafanuzi wa lolote au kutoa taarifa ya kuombwa rushwa na yeyote.

Muda wa Kazi: SAA 02;00 asubuhi hadi 11:00 jioni.

Muhimu: Usitoe zawadi au rushwa kwa yeyote kwani ni kinyume na sheria.
 
Mmesema ni 13/07/2019 saa 1.30 asubuhi,hamjasema venue ya kufanyia tena interview,. Mkikamilisha taarifa itatusaidia,wengine ni wageni Tanga,kuanza kutafta venue asubuhi,itaongeza frustration.
 
Eti venue utajulishwa kwenye meseji. Afu mwisho wa siku no meseji mpata tarehe usika. Khaaaaa
 
Ndugu zetu TANESCO kuna sehemu mnafeli kuhusu suala zima la michakato ya ajira....kitengo chenu cha HR managers inaaonekana kina matatizo makubwa sana na inaonekana hawafanyi mambo yao kwa umakini na uhakika hali inayoleta sintofahamu na lawama nyingi kuhusu nyinyi
 
Kwa kweli Tanesco wanachofanya kinashangaza sana,vip kwa wale wanaotoka mbali!?
Hivi zile nafasi za nyanda za juu kusini wameshaita watu
 
Mtuambie venue basi.
Yeyote aliyeomba kazi Kanda ya Kaskazini, akipigiwa simu au kutumiwa ujumbe (SMS) kuhusu kuitwa kufanya Usaili, Kuitwa Kuitwa kazini baada ya kufaulu Usaili au Kurudia Usaili, taarifa hiyo ni SAHIHI, azingatie:

0737807088 ,0737808507 ,0737807087,
0737807083 ,0272645391.

Tumia namba hizo kuomba ufafanuzi wa lolote au kutoa taarifa ya kuombwa rushwa na yeyote.

Muda wa Kazi: SAA 02;00 asubuhi hadi 11:00 jioni.

Muhimu: Usitoe zawadi au rushwa kwa yeyote kwani ni kinyume na sheria.
 
Dua na maombi yetu kwa ndugu zetu waliotutangulia
IMG-20190709-WA0038.jpeg
 
Back
Top Bottom