Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,314
- 5,523
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mzee wa Bakora mimi wala huwa haniumizi kichwa maana najua nae kakalia kuti KAVU
yaani hujui alichokisema lakini umeshakimbilia kwenye suluhisho, sasa wewe na yeye nani naweweseka?Kasemaji mbona mnaweweseka sana?
......
Mbona unatokwa povu we ndugai!?Ndio maana quinine ilipigwa marufuku. It is not fit for human consumption. Mwambieni lowasa kwanza aache kuingilia siasa zao then mrudi kwa ndugai. Wapinzani mpo kama vidaka tonge. Kutwa kucha kuvizia kauli za viongozi na kuleta upotoshaji humu.
duu, yana mwisho haya,Nimeshangaa aliposema nimetia sign barua ya wabunge kwa kua upinzani walimuita dhaifu mana ake anafanya kwa kukomoa na si kufuata haki iliyopo
Hii yakupima ni nzuri maana kuna watu wana mixer ya kiporo cha ugali na masizi kwenye cerebrum zao tusiwalaumu.Mtanzania hata awe hajala chakula siku tatu nzima ukimuuliza 'mambo atajibu safi'.
Hivyo hivyo ukimuuuliza Ndugai 'are you OK' atakujibu 'yes'.
Nimesikia tu juzi USA wanataka kupeleka hoja bungeni ili kumpima mambo fulani fulani rais wao, unfortunate hilo haliwezekani hapa!
hizo ni imagination zako tu mkuu, ni kama mie ninavyokiria ni sababu ya wale wabunge walioenguliwa na propesa hivyo wanaomboleza kuwakosa wenzaoSio kila taarifa unayoletewa mezani kwako unaweza kuisoma mbele ya bunge, nina imani kuna hoja nyingi na za msingi kabisa huwa unaletewa na kutia kapuni. Unaendesha bunge kwa misingi ya kishabiki na ubaguzi usioendana na ueledi wa majukumu yako kiongozi.
Unaelewa kabisa kua suala la Kenya liko hot hasa kwenye kanda yetu ya Maziwa makuu na dunia kwa ujumla. Taarifa uliyoletewa na mbunge kuuliza kwanini wabunge wa upande flani wamevalia suti nyeusi? Kufutwa kwa matokeo ya Urais Kenya ndio kuwafanye wabunge wetu wa upinzani wavae suti nyeusi? Wewe Kenya umeona hata mfuasi mmoja wa Jubilee amevaa nguo yeyote nyeusi?
Umeletewa taarifa iliyojaa unafki,uchonganishi na ufitini na wewe ukapoteza muda wa bunge kuisoma hivyo hivyo. Unafikiri wenzetu wa Kenya wakilisikia hili wanajisikiaje? Kumbe yaliyowatokea wenzetu 2007 kuna watu hakuguswa kabisa.
Badala ya wewe kusimama na kukemea upuuzi huu au kuitupa taarifa hiyo wewe unapoteza muda kuisoma kishabiki. Yaani mtu kama Lusinde au Msukuma akuletee taarifa kama hiyo na uisome, hivi jamii itakuchukuliaje jamani?
Tumewachokoza wakenya hasa Rais aliyekalia kiti hivi sasa, uchokozi tunawafanyia kwa kuingiza siasa zetu uchwara, baadaye muda utazungumza.
mbona hukumshauri lowassa asijiingize kwenye siasa za wakenyaSio kila taarifa unayoletewa mezani kwako unaweza kuisoma mbele ya bunge, nina imani kuna hoja nyingi na za msingi kabisa huwa unaletewa na kutia kapuni. Unaendesha bunge kwa misingi ya kishabiki na ubaguzi usioendana na ueledi wa majukumu yako kiongozi.

Si riziki!