Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,582
Mkuu Chakaza , hili la uzee linawezekana maana nimeikata 50 kitambo, naitafuta 60!.Sijajua hasa shida ni nini hasa iliyosababisha uwezo wako umedondoka kama nazi. Jee ni uzee unakukabili au ulipoamua kuuza uhuru wako kwa kugombea Kawe kupitia chama kinachotoa nafasi kwa sharti la kuweka ubongo kabatini?
Mbona wapo waandishi wamekuwa wazee na umahiri ndio umeongezeka? (eg. Ulimwengu) na wapo waliogombea kupitia chama chako na bado afya ya akili ni imara?
Ndugu yangu Pasco, itunze heshima uliyoijenga siku nyingi kwa kuandika ukweli.
Siku zote humu jf, mimi kosa langu ni moja tuu, na hili nitaingia nalo kaburini.
Kosa lenyewe ni kusema ukweli daima no matter what.
Kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, DPP pekee ndie hutoa Nolle. Hivyo aliye muachia Mbowe ni DPP, huo ukweli wenyewe.
P