Nsalaga Uyole
Member
- Mar 1, 2020
- 56
- 47
Ni serikali ile kivipi? Nahitaji unipe elimu japo kiduchu kwa faida yangu mimi binafsi na wengine pia.Tumia past tense, kuwa ilikuwa na sio inatumia, maana ni serikali ile sio serikali hii. Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...
Hili tumelipigania Sana...
Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...www.jamiiforums.com
CCM has nothing to do with this.
PJe, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, JF ni ukumbi huru kwa watu wote wa aina zote, rangi zote, hali zote, jinsia zote, vyama vyote hata wasio na vyama, sasa kwanini member wa jf, akijiunga CCM anabezwa sana humu hadi kutukanwa?!. Jee mtu kujiunga CCM ni kosa?, ni ujinga?. Jee wana CCM ni...www.jamiiforums.com