Kufutiwa vibali/usajili kwa madaktari wanafunzi-kisheria imekaaje?

Ye Soya

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
237
248
WADAU, Mara baada ya mgomo wa madaktari, serikali iliwafutia usajili/vibali madaktari hao na hiyo kupelekea vijana kukosa kazi mahali popote pale. Hivi hili suala kisheria limekaaje? ina maana madaktari hawana haki ya kudai haki yao? Je, haki za binadamu zinasemje kuhusu uhuru wao wa kudai haki?
Naombeni msaada wa kisheria kama serikali ina mamlaka ya kuwafutia usajili madaktari na hawawezi kukataa rufaa mahakama.
Nawasilisha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom