Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,494
- 41,002
Inawezekana una rekodi nzuri zaidi kuhusiana na wizi wa mitihani. Kwangu mimi, siwezi nikasema kama ni jambo ambalo nimewahi kufuatilia kwa umakini.Ndg yangu hapa sikuungi mkono hata kidg!!!!
Historia ya udanganyifu ktk mitihani hapa nchini halijaanza Leo ña tunakosea saña kulihalalisha na kutoa lawama kwa Rais.. Rejea matokeo ya form four 2012
Je kwa Hoja yenu inamashiko???? Kwani mwaka huu pekee ndo haya yametokea??? Mbona tunasahau ya 2012 ambayo yalitikisa nchi na vijana wengi walijiua!!!
Hapa sababu ni nyingi sana huenda hii mnayoitetea ikawa ni maelezo tu kwenye Hoja kubwa tusijifanye ati ndo leo udnganyifu umeanza,,,, fuatiia historia tangu tujiondoe kwenye EALA educacional council mwaka 1971 tukaamua kuanzisha NECTA mwaka 1973 hebu jaribu kuona kama tangu miaka hyo je hatujawahi kushuhudia wizi wa mitihani!!! Ña je kma tulishuhudia chanzo ña sababu zilikuwa hizi mnazozisema Leo?????
Ninachokumbuka kwa siku za nyuma, kumekuwepo kufutiwa mitihani kwa shule moja moja au hata baadhi ya wanafunzi. Sababu kubwa ilikuwa ni walimu wa shule kutaka shule zao zijenge majina mazuri na wakati fulani rushwa iliyokuwa ikitolewa na wazazi ili watoto wao wafaulu mitihani.
Sina uhakika, mama imewahi kutokea wilaya nzima kufutiwa mitihani yao! Kama wilaya nzima au karibu wilaya nzima inahusishwa na wizi wa mitihani, yawezekana kwa sasa, sababu siyo kama zile za zamani.
Ujumbe ulio mujimu ni kuwa kila mmoja aheshimu na kutii taratibu za kazi yake na siyo mtu.