Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

maufuli mwenyewe amejiri udhaifu wa Jk kupitia maneno yake anayoongea daily, mbna yeye hamumlaumu?
 
We nawe sometime uwe unajiongeza,

Lini umeshuhudia Waandishi wa Mwanahalisi wakimsifia Kikwete kabla, wakati na baada ya Utawala wake?

BACK TANGANYIKA

Ndio nimesema uwezo wa waandishi wetu uko mwisho, kumbe hawajawahi kumsifia sasa hiki kinachoendelea hapa ni kile kile chuki yao kwake, sasa tujadili nini?
 
Ahaaaaa Mrisho wa Mrishoooo?! Lazima wewe ni mnufaika wa madudu ya Mrisho mwenzio; usome usisome; hauna athira yoyote!



Hivi bado kuna watu wanasoma hilo gazeti? Hata akiandika nini tunajua nani anamtuma huyo kubenea , sio akili yake its money talking
 
Huyo Kubenea hebu aanike matumizi ya FREEMAN MBOWE akijineemesha kwa ruzuku ya serikali inayotolewa kwa Chadema
 
Dr.Magufuli unasubiri nini kutukamuliwa JK jipu?
Dr.Magufuli tafadhali sana,usijekuzugwa na JK kuwa anaumwa tezi dume,hilo alipeleka Marekani,keshapona.
Tubua hili jipu mama,maana limezaa vijipu vingi mno.
 
.........
 

Attachments

  • 1450676416326.jpg
    1450676416326.jpg
    6.7 KB · Views: 298
  • 1450676428546.jpg
    1450676428546.jpg
    26.3 KB · Views: 204
Haya yalitakiwa yaelezwe wakati kikwete akiwa mamlakani, vinginevyo ni umbea na kutafuta kick kwa gazeti la mwanahalisi.
Gazeti limetoa vielelezo vyote kama invoice za hotel, namba ya chumba alicholala uyo officer na maofisa wa hotel wamedhibitisha, sasa wewe Riz1 ooohhh samahani Miraji unatetea upuuzi gani hapa...!!
 
Katika Gazeti la MwanaHalisi la leo kuna taarifa yenye kichwa cha habari KIKWETE KUFURU, kwamba wakati wa utawala wa JK kulikuwa na tabia ya kufuja pesa za walipa kodi kwa njia za FEDHEHA.

Katika moja ya safari chache za ndani ya Nchi mapema mwaka huu, ofisa mmoja wa Ikulu aliyekuwa kwenye msafara wa Rais alitumia pesa Tshs 821,997.24 kwa MASAJI peke yake (kukandwa na kutomaswa mwili) akiwa katika hotel ya kifahari iliyopo ndani ya mbuga ya Serengeti ya FOUR SEASONS SAFARI LODGE. Kiasi hicho cha pesa kililipwa na Ikulu.

Ofisa huyo wa Ikulu alifika Arusha akiwa katika msafara wa JK na kwenda moja kwa moja kwenye Hoteli hiyo kwa usiku mmoja na alikuwa katika chumba no 9017 na kwa ujumla kwa usiku huo mmoja gharama zote zilikuwa Tshs 3,862,997.24 zikiwa ni gharama za Masaji, Kufua Nguo, Kula, Kunywa na Kulala kwa usiku mmoja huo wa April 17.

Gharama za ufuaji wa nguo za ofisa huyo wa Ikulu pamoja na mwanamke aliyekuwa nae kwa siku hiyo jumla ni Tshs 676,000/=.
Gharama zote tajwa hapo juu zimelipwa na Ikulu.

Chanzi: MwanaHalisi la leo, Toleo 318.

My Take:
Awamu ya nne haikuwa na chembe ya huruma kwa wananchi wake.

Mwanahalisi hawana jipya sasa hivi ni kazi tu mambo ya nyuma hayatusaidii sisi majungu hayana nafasi......
 
JK tu kila kukicha,,, JPM yupo kazini baada ya kumuunga mkono tusonge mbele nyie mna JK tu kila kukicha,, kifupi ni kwamba JK ameongoza hii nchi kwa 10yrs na amemaliza muda wake,, pia JK alimsaidia sana JPM kwenda ikulu na pia kupambana sana na yule jamaa wa Monduli na kundi lake,, leo hii JK anafanywa kinyesi na wanamtandao ili achukiwe na kumchonganisha na JPM,, hawa wote ni vibaraka tu wa wanamtandao ndio maana walihubiri LOWASSA ni fisadi na mwizi na hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kwa miaka nane halafu ndani ya miezi miwili wakahubiri LOWASSA ni malaika anafaa kuwa rais,, hawa ni wakupuuza na hakuna kosa walilofanya wananchi wa ubungo kama kumchagua KUBENEA kuwa mbunge..
 
Kusuhu mkwere kufilisi hii NCHI kwa sasa sio habari tena labda kwa wale waliokuwa wanaishi kwa Ujira wa elf 7
 
Back
Top Bottom