??????????bag/kitchen party
Kwenye mahusiano ukiwa na hasira hauwezi furahia ndoa/mahusiano na ukiwa na wivu unakuwa mtumwa wa ndoa/Mahusiano ukitaka kufurahia ndoa/mahusiano wewe kuwa mjinga ili uwe mwerevu ..kuishi na wanawake inahitaji akili kubwa na moyo wa utulivu sana .
formula yenu haijulikaniKwamba nyie wanaume Ndio mkono perfect au??? Kutumia akili Kubwa v3pe?
Mkizingua tunawazingua. Ngoma drooformula yenu haijulikani
aseehUkiona ndoa/ mahusiano yamedumu jua kuna mmoja kajifanya fala
Mmmmmmhhhh kibengooMkizingua tunawazingua. Ngoma droo
And now days mnapenda kulia lia jf kama mjamzito aliepoteza mtoto.
Punguzeni kulalamika
Mkizingua tunawazingua. Ngoma droo
And now days mnapenda kulia lia jf kama mjamzito aliepoteza mtoto.
Punguzeni kulalamika
Mnaboa nyinyi hapo, hata mkioa haimaanishi ndio umevalishwa chupi la bati kwamba hutotomb* nje. Hayo ya kanisani kwenu ni nyinyi na matatizo yenu, mtajua wenyewe.tunataka mjirekebishe mpate kuolewa, unajua inaboa sana kanisani sala zimeisha afu mnasubirishwa eti kuna mtu anatafuta mume, afu kiti cha mbele nashindwa kutoka hahahahh(jokes)