Kufungwa sio kama unaenda Sheraton

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Mubashara hotuba ya Rais mkoa wa pwani Azam two.

Raisi anasema wafungwa wapige kazi kufungwa sio sawa na kwenda Sheraton,Mafisadi wakalipie jasho walilolichuma wakiwa jela Askari magereza pigeni kazi msiangalie umaarufu.

Tasaf kuna Maskini Hewa,Pembejeo kuna wakulima hewa,Vyuoni kuna wanafunzi hewa.

Piga kazi Raisi.
 
Mmmh mimi tumbo joto
 
Nyie chekeleeni tu, mwisho wa siku mtaambiwa wewe ni raia hewa
 
aisee wanafunzi waachwe kabisa miaka 30 ipo pale pale

Mimba kabebee chuo kikuu siwezi kusomesha watoto wenye watoto wataanza kusumbua darasani na kuomba muda wa kwenda kunyonyesha nyumbani

Azam two Mubashara.
 
Uzuri wa ngosha ni mzee wa makavu live, hakuna kupindisha pindisha.......safi sana.
 
Uzuri wa ngosha ni mzee wa makavu live, hakuna kupindisha pindisha.......safi sana.
Aisee mzee anakupa ukweli ila ana huruma sana karuhusu eka 65 za magereza wapewe wakazi wa huko.
 
Back
Top Bottom