Kufungwa kwa barabara njia panda Segerea kumepunguza foleni

iddhassan

Senior Member
Jul 26, 2016
100
133
Kufungwa kwa njia ya Segerea kupisha ujenzi wa njia ya Reli Segerea Banana kumeondoa sana foleni Banana kwenda Airport mjini.

Tunaomba ibakie hivyo hivyo. Njia ya kwenda Kinyerezi, Segerea ya kudumu iwe airport. Ibaki kama ilivyo imeondoa foleni kabisa Nyerere road hasa Banana na njia panda ya Kitunda
 
ni kweli kabisa japo ni hivi karibuni tu watafungua tena, ila imekuwa vyema kuwa hivyo, changamoto sasa ni pale Madafu kwenye mchepuko wa kuingia njia ambayo ndio unakuja kutokea huku stakishari then uelekee Kinyerezi au Segerea pale magari hayapishani so kunakuwa na foleni kushinda hata pale njia panda Segerea, wajitahidi wafungue daraja la SGR ambalo lipo mkabala na ukonga magereza ili foleni ipungue japo inaweza kuwa sio leo wala kesho
 
Back
Top Bottom