Kufunguliwa kwa udahili wa cheti na diploma

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
261
90
Habari, Kwa yeyote mwenye kufahamu ni Kwa lini dirisha la maombi kwa ngazi ya cheti na diploma kwa mwaka wa masomo 2019/2020 anisaidie

Thanks in advance
 
Huku, naona soon tu wizara watatoa announcement.. May be ni mwez huu wa nne mwshoni au wa tano mwanzoni
Ebu nipe ukweli, nasikia MATI Mtwara wanafunzi ni kama manamba ya mashamba ya serikali, hivi ni kweli? Jembe, mikorosho, mbuzi, ngombe, nguruwe etc ndio shule! Ni kweli?
 
Ebu nipe ukweli, nasikia MATI Mtwara wanafunzi ni kama manamba ya mashamba ya serikali, hivi ni kweli? Jembe, mikorosho, mbuzi, ngombe, nguruwe etc ndio shule! Ni kweli?
Mkuu, kiukweli MATI MTWARA ni chuo kigumu sana.. Uongozi wa chuo wanajali sana kazi za chuo kuliko Masomo... Yaan manamba full full
 
Back
Top Bottom