Kufunguliwa kwa tawi la kiwanda cha Sino-Truck nchini Tanzania kutatatua changamoto ya usafirishaji wa mizigo

Pamoja na kuwa idadi hii ni ndogo, lakini ni wazi kuwa ajira kubwa kama hizi zinazotolewa na viwanda vikubwa mara nyingi huambatana na malipo mazuri, na huwa zinazalisha ajira nyingine nyingi ndogo ndogo.
Tuishi nao kwa akili sana, bila kuwa na jicho la tatu na hata la nne tutakuja kukumbuka blanketi kukia asubuhi, hawa watu ni very strategic
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom