Kachangamtoto
Member
- Dec 4, 2012
- 82
- 28
Ikiwa ni fursa kwa watu kupata ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Bado serikali inaruhusu wageni wengi kuajiriwa kwenye hivyo viwanda, Wazalendo wanalipwa ela kidogo sana, nini kifanyike watu kupata haki zao