Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Kumbe na wao huwa inauma kama wanavyoitukana serikali. Mi nilidhani binti Karume yupo njema uwakili wa nini?
Nilichoona kwenye hili tamko ni kwamba Wakili Fatma Karume hakuitwa kusikilizwa (natural justice) kabla ya kuhukumiwa kufungiwa. Hivyo, wanaomba asikilizwe. Uahauri wangu; Mahakama imsikilize, halafu ikiwezekana baada ya kumsikiliza, impige life ban!!
Hahaha...ataenda sikikizwa kwenye kamati yao ya nidhamu.Mtaandika kizungu hadi mchoke. Tabu bado ipo pale pale.
Mtaandika kizungu hadi mchoke. Tabu bado ipo pale pale.
Nilichoona kwenye hili tamko ni kwamba Wakili Fatma Karume hakuitwa kusikilizwa (natural justice) kabla ya kuhukumiwa kufungiwa. Hivyo, wanaomba asikilizwe. Uahauri wangu; Mahakama imsikilize, halafu ikiwezekana baada ya kumsikiliza, impige life ban!!
Hehe...ni Jaji Kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania na ndiye Jaji Mkuu ajaye.Flashback: August, 2014.
Mr Eliezer Feleshi, who was the Director of Public Prosecutions for seven years, was among 20 High Court judges named on Wednesday evening in new appointments made by President Jakaya Kikwete. He leaves one of the most powerful positions in the state administrative structure.
Fast forward: June, 2018.
President John Pombe Magufuli has appointed Dr. Eliezer Feleshi the new Principal Judge (Jaji Kiongozi) of the High Court of Tanzania.
Now: September, 2019.
Dr. Eliezer Feleshi, the Principal Judge (Jaji Kiongozi) of the High Court of Tanzania has temporarily suspended seasoned Lawyer Fatma Karume from practising in Mainland over the remarks she made in her submission in a case challenging the appointment of Prof Adelardus Kilangi as Attorney General (AG) of Tanzania.
Who is Dr. Eliezer Feleshi?
Mzee baba hiyo lugha hata mzee meko haoni ndani.Mtaandika kizungu hadi mchoke. Tabu bado ipo pale pale.
Kimsingi Tz hakuna Mahakama, NA hii ni hatari sana KWA Usalama ktk nchi, because "if injustice becomes a law, then resistance becomes a duty"Flashback: August, 2014.
Mr Eliezer Feleshi, who was the Director of Public Prosecutions for seven years, was among 20 High Court judges named on Wednesday evening in new appointments made by President Jakaya Kikwete. He leaves one of the most powerful positions in the state administrative structure.
Fast forward: June, 2018.
President John Pombe Magufuli has appointed Dr. Eliezer Feleshi the new Principal Judge (Jaji Kiongozi) of the High Court of Tanzania.
Now: September, 2019.
Dr. Eliezer Feleshi, the Principal Judge (Jaji Kiongozi) of the High Court of Tanzania has temporarily suspended seasoned Lawyer Fatma Karume from practising in Mainland over the remarks she made in her submission in a case challenging the appointment of Prof Adelardus Kilangi as Attorney General (AG) of Tanzania.
Who is Dr. Eliezer Feleshi?
...hiyo Malkia mwenyewe kuna baadhi ya maneno hayaoni.Mzee baba hiyo lugha hata mzee meko haoni ndani.
Kwa hiyo?Mzee baba hiyo lugha hata mzee meko haoni ndani.
Impige lifeburn kwa sheria ipi na kipengere kipi kamongo mnaongoza nchi huku moshi wa jamaika upo kichwani ni hatari sana.Nilichoona kwenye hili tamko ni kwamba Wakili Fatma Karume hakuitwa kusikilizwa (natural justice) kabla ya kuhukumiwa kufungiwa. Hivyo, wanaomba asikilizwe. Uahauri wangu; Mahakama imsikilize, halafu ikiwezekana baada ya kumsikiliza, impige life ban!!