Kufungiwa CCTV camera

Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,691
924
Habari! Wakuu kama kichwa kinavosema hapo juu ombi lenu kwenu kama kuna wtaalamu waje na offer zao nina mteja anahitaji hii huduma,mazingira ya kufunga hiyo camera yako hivi ni Saloon ya room moja anahitaji ikifungwa awe na access nayo ili aweze kui monitor popote alipo hasa kwenye simu na Tablet,kazi ipo Dar Mtoni kijichi.
1.Inabidi aandae vifaa vipi na vipi ili kukamilisha hilo.
2.Aina gani itumike ya hiyo camera hata kama za mchina zipo sio mbaya pia na bei zake.
3.kama wewe ni fundi njoo na offer yako na mpango kazi mzima kama itakuwa bei inaridhisha utachukua kazi ila usiwe dalali.Ahsanteh

Pm(Mawasiliano mengine ni pale tutakapo kuwa tumepata vizuri)
 
Wifi cctv camera unaweza nunua mwenyewe na kuifunga mwenyewe
Nipe somo kwa Dar naweza ipata wapi,kiasi gani na inafanyaje kazi,na ipi ni aina nzuri maana bila shaka zipo za aina nyingi kabla sjaenda google.Ahsanteh
 
Ku gugo amazon na ebay haitoshi. Lazima upate maelezo ya fundi. Sio kama kununua redio tu halafu unafungua na kusikia muziki.
 
Ku gugo amazon na ebay haitoshi. Lazima upate maelezo ya fundi. Sio kama kununua redio tu halafu unafungua na kusikia muziki.
Ofcourse ila kama ungenielezea hapa ingekuwa vizuri sana mkuu ili kupigiana simu iwe jambo la mwisho kabisa maana naamini pia utakuwa umetangaza biashara yako kwa watu wengine pia.Ahsanteh
 
Duu mjomba technology ndio biashara yenyewe. Sasa tuweke technology hapa mtandaoni. Ila CCTV (closed circuit television video) zipo weka oda mpaka jumapili utaona streamed video katika android yako na utaweza kujua wateja wote watakao pata huduma katika saluni yako. Kama hakuna wateja pia utajua. Usiwe na wasi wasi kupiga simu kama kweli una shida hiyo. Mimi sio nanihii. ..
 
Sawa mkuu shukrani.
 
Tafuta IP cctv cam. Zipo hadi za kichina zinatumia wifi ndo unaweza monitor remotely. Kuna jamaa nimemuona ya kwake inatumia line ya simu pia ina WCDMA. Ila inatafuna data balaa ila iko poa cuz ni 720p so ina quality nzuri
 
Naweza pata brand name ya hiyo kitu mkuu na unaweza ukawa unai monitor umbali gani mfano upo kwenye mishe nyingine km kadhaa huko na huku ukawa na access nayo pia inawezekana kui fix mahali ambapo haiwezi onekana na mtu ovyo kwenye angle flani.Ahsanteh
 
Ka hz
 
Attachments

  • IMG-20180412-WA0038.jpg
    IMG-20180412-WA0038.jpg
    67.5 KB · Views: 60

Similar Discussions

Back
Top Bottom