Kufungia watembea miguu GOLDEN JUBILEE TOWERS ni kero!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
20161220_143300.jpg

Hii kero ya kufunga hii barabara hata kwa watembea kwa miguu itaisha lini?
Ningewaelewa kuzuia magari, lakini pedestrians?
Halmashauri ya Jiji msilikalie kimya suala hili, msingojee kutumbuliwa.
 
Dah!!Mkuu umeniwahi tu jana nilitaka kupita hii njia jamaa mlinzi sijui wa KK au wa Ultimate akanizuia eti hairuhusiwi watu kupita hapo. Nikamwambia mimi nimetoka humu ndani kupata huduma bank ya NIC alikaza kabisa.

Yaani ikanibidi nilizunguke hilo jengo lote ila nilichukia sana.
 
Mkuu hao vijana wa KK kwanza hawana aili sana.
Hata ukiongea nao hawana sababu Zaidi ya walivyoelekezwa
Lwama ziwaendee wenye jengo, nafikiri ni PSPF.
 
Dah!!Mkuu umeniwahi tu jana nilitaka kupita hii njia jamaa mlinzi sijui wa KK au wa Ultimate akanizuia eti hairuhusiwi watu kupita hapo. Nikamwambia mimi nimetoka humu ndani kupata huduma bank ya NIC alikaza kabisa.

Yaani ikanibidi nilizunguke hilo jengo lote ila nilichukia sana.
Inaelekea mzee wa kutumbua hajapita hapo.
Naomba tu mzee wa kushtukiza JPM, apite hapo japo kwa matembezi tu.
 
Upande huo waliofunga si kuna ofisi na bank nadhani ya Amana kama nitakuwa sijakosea.. Wanapita wapi sasa hao kwenda kupata huduma hizo..?
 
Pengine kuna utapeli ulishafanyika au huwa unafanyika sana... maana town inawenyewe wakishaona upenyo ndipo huwaingiza watu king sana...

au pana Bank na njia za kuingiza pesa Bank huwa ni sehemu kama hizo so pakifungwa ni sawa tu japo inaboa na hapo mbele embassy Hotel pamefungwa haijulikani patafunguliwa lini na pia sidhani kama ujenzi unaendelea pale ndio pa kufunguliwa
 
Back
Top Bottom