Kufungia simu Serikali itapoteza zaidi ya 30% ya kodi toka makampuni ya simu

Ukifanya uhalifu kupitia simu yako ya mkononi.
UK, kwanza line unainunua kwa kutumia bank card na bank card huwezi ipata bila kutoa id iwe driving licence, passport etc , hivyo kwa kutumia vitu hivyo tayari wameisha dukua taarifa zako. Tatu wanakuuliza post code yako na he no.hapo wanapata physical address ukifanya uhalifu unanyakuliwa kama drone imekufuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana
Nauliza tu. Haiwezekani kutumia alama za vidole zile zilizopo kwenye vitambulisho vya kura au leseni ya udereva au kadi za NSSF nk..nk. kwa wale walivyo navyo hivyo.wale ambao hawana ndio waandikishwe Nida,nadhani inaweza punguza hii adha tunayoipata.

Yaani NIDA,utadhani bila wao dunia itaacha kuzunguka kwa nini uandikishwe leo Mnazi mmoja halafu ukachukuwe namba ukonga mombasa baada ya week mbili?

Yaani haiwezekani papo kwa papo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanunulia wapi kwa wale wanayo uza used??
Na wanayo uza used ni kwamba ukitoka msala atakaye shikwa ni yeye aliywnunua kwanza, labda utoke ushahidi mwingine kuonyesha yeye sio muhusika bali mtu mwingine kwa kutumia cctv ambazo wenzetu wanazo sisi hatuna, sasa sijui ungependa kusema tunawaharibia watu kazi zao
Umeanza kwa hoja ya sim card kuuzwa kwa ID au bank card, ukaambiwa si kweli, ukahamia kwenye simu na IMEI ukaambiwa kuna Sunday market, sasa unahamisha hoja. Point yako ni nini hasa?
 
Huu mchakato wa kusajili laini za simu kwa kutumia kitambulisho cha NIDA pamoja na vidole umekaa kisiasa zaidi na hauna faida kiuchumi.

UK na baadhi ya nchi unaweza nunua laini na kutumia bila kufungiwa.

Kwa kufungia laini zaidi ya Milioni 15 ya Watanzania ambao hawana NIDA serikali inapoteza zaidi ya 30% ya kodi.

Waziri jitafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhujumu Uchumi
 
hawajali kodi wanafungia kimkakati , wana malengo ya kupata hela ya haraka haraka kutoka kwa kampuni za simu kwa kuwatoza fine kubwa kwa line zisizozimwa nia Ya TCRA ni hovu

wanajipendekeza kumtafutia Maghufuli hela za campaign kwa kuumiza wananchi

Kwa kila mteja mmoja ambae hajakamilisha usajili wa Alama za vidole simcard ikiachwa bila kufungiwa na kampuni husika TCRA imepanga kuwapiga fine ya shillingi laki 700,000 (kwa kampuni ya simu husika kwa kila siku hiyo simcard ambayo itakavyokua hewani na huku haijasajiliwa )
 
Umeanza kwa hoja ya sim card kuuzwa kwa ID au bank card, ukaambiwa si kweli, ukahamia kwenye simu na IMEI ukaambiwa kuna Sunday market, sasa unahamisha hoja. Point yako ni nini hasa?
Hoja yangu ni kuwepo uthibiti wa uhalifu kwa kupitia simu na simu sio handset tu au SIM card ni combination ya vyote ndio uhalifu unaweza kufanyika.
Una la ziada?
 
Hizo lyca mobile unatumia kupiga internal call or outside the country ??
Na hiyo handset unayotumia yenye imei number nayo uliinunua cash bila kuulizwa jina na post code??
Kwani simu ina mipaka ya kupiga?
Tayari umeshaelezwa kuwa U.K unanua simkad kwa cash bila ya kitambulisho. Unachofanya wewe ni kijizungusha na kutoa madai yako yasiokuwa na msingi.
Hiyo kuulizwa jina lako na Post code haina uhusiano na hayo madai yako.
Kuulizwa jina na Post code ni jambo la kawaida kwa UK hata ukinunua pasi au redio.
Unaulizwa ili iwe ni ushahidi kuwa kile kitu ni mali yako.
Kwa anaenunua simcad akisema jina lisilokuwa lake, na Post code isiyokuwa yake atajulikana vipi? Jee hapo kuna kuzuia uhalifu?
 
It seems u don't know how things are operating that is why u r talking about telling lies , ndio yake yake ya kusema ID yako itumike kusajili simu card zaidi ya moja bila kujua in built controls .
Any way naona najadiliana na mtu asiye na uelewa of how this issue or things operate.
Asante.
 
Back
Top Bottom