Kufunga uzazi,,kwa nini wanaume ni wagumu?

Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,534
4,185
^^
Linapokuja suala la kufunga uzazi,wanaume wengi hawataki Je,tatizo ni nini?
Nimesema hivyo baada ya kupata habari ya mwanamke ambaye ameaga dunia jana Kutokana na kosa la kibinadamu la madaktari kukosea wakati wa oparesheni ya kufunga kizazi.
^^
Hivi wanaume wana sababu za msingi,,kutopendelea hili?
^^
 
Unataka wakosee wakate ule mrija halafu tubaki tunajilaumu?

Madaktari wenyewe hawa operesheni ya mguu wanapasua kichwa.
 
Basi tu, ubinafsi. Ila wapo ambao wanapanga, hasa wale matajiri
(au wanao jihisi ni matajiri), wanaogopa wasije wasingizia mimba
 
Sijui kwa nini wanaume huwa wanaogopa hii aisee hebu tujuzeni ni kwanini hampendi kufunga uzazi ,na mara zote mnatusakizia sie wamama tu. Mimi naona kama vipi wote mama na baba waongozane kwenda kufunga uzazi hii itapendeza sana .
 
Tatizo ni kwamba hatutaki kufanya majaribio kwenye sensitive issues. Je baada ya kufunga uzazi na jogoo nalo likianza kuimba ule wimbo wa machozi band " umelala huo mtalimbo umelala dooroo" itakuwaje. Lakini pia kwa mwanaume peak hufikiwa wazungu wakitoka sasa hiyo mirija ikikatwa wewe tena si ndo kushnehy
 
Huna haja ya kufunga kizazi mwanaume au mwanamke, hana haja ya kutumia vidonge vya uzazi wewe mwanamke.unachopaswa kupanga uzazi kwa njia iliyo salama,vidonge vingi vya njia ya uzazi vinamadhara makubwa sana , njia nyingi za kufunga uzazi zinamadhara makubwa kama hayo ya kukosea dakitari na kusababisha kifo.tumia elimu yako ya uzazi kupanga uzazi na usifuate mawazo ya wafanyabiashara wakizungu wanaotengeneza vidonge na vifaa vya kufunga kizazi.hizi nibiashara za wazungu wanatushauri kwa masilahi ya biashara zao na si kwa maslahi yetu na afya zetu.
 
vasectomy is not reversible.
psychologically it means we lose our ability wa kuzalisha and this makes us feel "less of a man". personally i can't do it
 
^^
kwa hiyo,hakuna haja ya kupanga uzazi?
^^

Kupanga uzazi ni tofauti kabisa na kufunga uzazi! Kama ni kupanga tu uzazi wanaume hawanaga shida wanapanga sana tu na kwa njia mbali mbali! Fikiri ule uzi uko humu juu ya jamaa aliye na mke lakini anapiga nyeto.., miguvu yote anayoipoteza kwenye nyeto ni njia yake ya kupanga uzazi...

Niseme ni hatari kufanya jambo ambalo huwezi ku-reverse pindi ukiwa na mawazo tofauti.
 
Back
Top Bottom