Kufunga Mwaka 2021: Jamii Forums na kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali

Hivi kwa mtazamo wako tu unaona wapo sawa yule na huyu wa sasa?
mijadala yake ya hitajio la katiba mpya kipindi kile na ukosoaji wake kipindi kile kuhusu CCM na serikali yake,alafu baada ya teuzi kawa sio yuleeeee,,,wa kipindi kileeeeeee,,,!
Achana na teuzi kasomi utaisha.
Kweli kabisa maana polepole wa sasa si yule wa zamani hapa vitu vingine unaacha vinapita ili Maisha mengine yaendelee maana huko siko kabisa.
 
Basi ili kuendelea kufanikishwa mjitahidi na nyinyi kutoa chochote either pesa au zawadi kwa ajili ya Watoto.
Nikweli, ila siku akisema tunatembelea Magerezani nitakuwa mstari wa mbele.......si jambo baya kukusanya watoto ila tuwaze zaidi makundi yenye uhitaji kama camps za wazee, Yatima na washikaji walio Jela
 
Kweli nalo ni jambo Jema bila shaka hapa atachukua point na Siku Moja kulifanyia kazi hili.
 
Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian Caristus Likoko Nyumayo ambapo watoto bila kujali tofauti zao za kiimani waliburudika pamoja.
clap.gif
 
Basi ili kuendelea kufanikishwa mjitahidi na nyinyi kutoa chochote either pesa au zawadi kwa ajili ya Watoto.
JF members kama wapo walioshirikishwa huenda watakuwa walio karibu na Mods. Hao watoto ingependeza zaidi kama ni Railway Children.
 
Hongera kwa uongozi mzima wa JamiiForums. Ombi langu kwenu, Tunaomba na sisi members muwe mnatupa taarifa ya vitu vizuri kama hivyo mapema, ili kama tuna michango yetu tuweze kuchangia na kwa wakati.

Tugawane thawabu, natanguliza shukrani
 
Ni vizuri Ila miaka mingine Ingependeza kuwe na mambo Kama hayo na mikoa mingine.
 
JF members kama wapo walioshirikishwa huenda watakuwa walio karibu na Mods. Hao watoto ingependeza zaidi kama ni Railway Children.
Bila shaka Melo na crew nzima ya JF watajitahidi huenda baadae wataanza kuwashirikisha na members wengine.
 
Hongereni sana naimani awamu ijayo msiwasahau na watoto wa uswazi ndani ndani kama wa Kwa mtogole, vingunguti, kigogo, kwa lulenge, manzese na yombo dovya msiishie tu kuwakusanya wa saint marry a.k.a kina junior peke yao
 
Mwaka 2022 tunatarajia kuwa na watoto zaidi ya 1,500 kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar..
Tuunge mkono ukiweza!
Tuko tayari, kuunga mkono, Bila shaka wakati ukifika utatupatia utaratibu wa sisi pia, Wana JF, jinsi kushiriki kuchangia kidogo tulichonacho.
Tunaomba na sisi members muwe mnatupa taarifa ya vitu vizuri kama hivyo mapema, ili kama tuna michango yetu tuweze kuchangia na kwa wakati.

Tugawane thawabu, natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom