Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,136
Nimewiwa kuuliza hili hiivi wakati wanandoa mkiwa mnakula lile tunda
wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho
na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza
kumantain above see level bado wanakuwa wanafunga macho
najiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwa
wanasikilizia maumivu?? Na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baada
ya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!