Kufunga kampeni za CCM Tanga inakwenda upinzani kwa asilimia 90

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
Mkutano umedoda ,wahudhuriaji wachache na hawana furaha . Kinana yupo pale hana nguvu amekata tamaa wanawake ndio wengi na wanaume na vijana wachache sana ,kuna kijana kapanda kavaa khanga (mwanamume kama wa miaka 17-19) ameonesha vitendo vya kutia shaka juu ya uanamume wake. MC kasema tusamehe tu penye wengi pako hivo .Ila ni wazi kama hakutakuwa na rafu Tanga ni ya CUF na UKAWA.
 
Huyu jamaa CCM ndio zao, wanakula kiboga.. ndio ushetani wa CCM huo..😨😨
 
Back
Top Bottom