Kufunga jela viongozi wa Upinzani ni maagizo iliyopewa mahakama ya Tanzania ?

Yaani ni wapi na lini katika nchi hii ccm au serikali imewahi kutoa hukumu? Hivi nyinyi bavicha huwa mnatumia bongo zenu kweli? Huyo Lijualikali amehukumiwa na CCM au serikali?

......"kuna mihimili mitatu katika nchi, ila mmoja umetitia chini zaidi ya mingine.................." By JPM
 
Swali la msingi je alikuwa na kosa au kabambikiwa.?
Na je haki kwenu kufanya makosa?.Je ni dhambi kwenu kuhojiwa kwa makosa?
sasa cha msingi jifunzeni nidhamu tu ya maisha,otherwise mtapata shida.
Wabunge wa CCM wamewahi kutuhumiwa makosa makubwa sana, kuna yule wa Bahi ilikuwa ni rushwa ya nje nje lakini kesi ikayeya. Kuna hawa wabune watatu wa CCM, Kangi Lugola na wenzake, walishtakiwa kwa rushwa, kesi imeyeya. kuna huyu braza Job Ndugai, alimkung'uta bakora mwenzake live, kwenye uchaguzi. hakuna kesi na leo anadunda kama Spika wa Bunge.

Kwa upinzani ni tofauti. kuna akina Mawazo ambao wameuawa live kabisa, lakini hakuna kitu. kuna vurugu za kutengenezwa, wamitwa "magaidi" hadi jaji mmoja alitoa onyo kwa matumizi ya maneno kama hayo. kwa hiyo tatizo siyo kwamba tunapinga wasihojiwe kwa makosa wafanyapo kosa, bali michakato ya kimahakama inakwenda kwa kubagua wapinzani
 
Nidhamu inatakiwa ianzie juu.Katiba yetu inasemaje kuhusu Mikutano ya vyama vya siasa??Ukilijibu hili basi yule Mathew wa Lindi hakutakiwa hata kufunga siku moja.

pole uwe chizi kuliko kuwa Mwanachama wa CCM
Mungu akulinde sana .
 
Nchi yetu saiv inadall zote za kdkteta, ushaid n kutokana na rais malaika tulyenaye kuliongoza taifa hl kwa kuvunja katba na sheria, kwahyo watanzania wenzangu tuko ktk kpnd kgum sana nchi tukiiona taratiiiiiibu ikielekea kwenye udkteta.MUNGU barik taifa hl
Unajua kwanini vita hutokea nchi nyingi za kiafrica ?
 
Polisi na mahakama ni matawi ya chama na watumishi wake ni makada wa fisiem ndio maana hata mstaafu jaji mkuu mmoja aligombea urais kwa ticket ya chama cha mafisi
 
Polisi na mahakama ni matawi ya chama na watumishi wake ni makada wa fisiem ndio maana hata mstaafu jaji mkuu mmoja aligombea urais kwa ticket ya chama cha mafisi
CCM ikianguka na uhuru wa nchi hii ukipatikana hawa wote watakwenda na maji , subiri kidogo tu .
 
NIMESITUSHWA NA HUKUMU YA SITTA ! Kwa mtiririko wa kinachoendelea na matokeo ya kesi kwenye mahakama kuhusiana na kesi za wapinzani, LISU ajiandae kufungwa. HALINA MJADALA, .......Time will tell!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
NIMESITUSHWA NA HUKUMU YA SITTA ! Kwa mtiririko wa kinachoendelea na matokeo ya kesi kwenye mahakama kuhusiana na kesi za wapinzani, LISU ajiandae kufungwa. HALINA MJADALA, .......Time will tell!

Ni kweli kabisa,naona RAIS ameshasema hataki wapinzani.
 
we n mpumbav,kesi ya bulaya sio sana kes kama hii,kuna baadh ya vjana wanaakil finyu sana ktk kuhoj mambo cjui kwa nn,unaandika il mrad na we2 uonekane nawe umeonekana jf! ushabk usio na tija n upuuz mkubwa!
 
Wabunge wa CCM wamewahi kutuhumiwa makosa makubwa sana, kuna yule wa Bahi ilikuwa ni rushwa ya nje nje lakini kesi ikayeya. Kuna hawa wabune watatu wa CCM, Kangi Lugola na wenzake, walishtakiwa kwa rushwa, kesi imeyeya. kuna huyu braza Job Ndugai, alimkung'uta bakora mwenzake live, kwenye uchaguzi. hakuna kesi na leo anadunda kama Spika wa Bunge.

Kwa upinzani ni tofauti. kuna akina Mawazo ambao wameuawa live kabisa, lakini hakuna kitu. kuna vurugu za kutengenezwa, wamitwa "magaidi" hadi jaji mmoja alitoa onyo kwa matumizi ya maneno kama hayo. kwa hiyo tatizo siyo kwamba tunapinga wasihojiwe kwa makosa wafanyapo kosa, bali michakato ya kimahakama inakwenda kwa kubagua wapinzani

Umemsahau Mtoto wa Mbunge wa CCM na Nyara za serikali alipigwa fine,anapeta tu mtoto wa Mbunge
 
Mkuu wakati mwingine unaweza vuna dhambi humu jf bila sababu. Nakuuliza hivi unamaanisha toka moyoni au umejitoa ufahamu kwa mda utimize kushabikia dhuluma. Mbona ndugai alimtandika mwenzie hadi kuzimia mkakaa kimya? Mangapi yanafanywa na wafuasi wa ccm hamyapeleki mahakamani? Hapa duniani hamna haki tukutane siku ya Kiama fullstop!
Kosa la mwingine halifuti kosa la kwako mbona you principle inajulikana
 
Hili la kuwafunga jela viongozi wa upinzani bila faini , hata kama kuna adhabu ya faini kwenye makosa wanayohukumiwa nayo haliwezi kupita bila kujadiliwa.

Tuliambiwa kwamba Mh Lijuakali amepewa kifungo bila faini kwa vile ni mtu anayerudiarudia makosa yaleyale ( niko tayari kusahihishwa ) . Huo ulikuwa ndio msisitizo wa Hakimu katika style ya kunawa mikono.

Sasa najiuliza kwa kifungo cha Suleiman Methew cha miezi 8 bila faini , naye amerudia makosa yale yale kila mara , au ni mkakati wa mahakama nchi nzima wa kutii maagizo ya ccm , ili kukomoa na kutisha wapinzani wa kweli ?

Zipo tetesi kwamba kuna vifungo vya watu maarufu vinakuja , sasa huu ni mkakati wa kutuandaa kisaikolojia , lakini natoa wito kwa Mahakama kutenda haki bila uonevu , maana huwezi kujua ni nani atakuwa mamlaka ya uteuzi kesho .
Yule aliyemtukana Rais facebook, alipotakiwa kulipa faini. Mlilipa kwa kumchangia na kuifanya kuwa fursa ya kufanya siasa zenu.! Kwa sasa nadhani hiyo ndio hukumu bora zaidi.
 
Dah... Ila ifike mahali tuachane na siasa zisizo na Tija...siasa za vurugu na utotoni... .Tufanye siasa za maendeleo
 
Back
Top Bottom